Maswali Ya Mara Kwa Mara
Ukurasa huu wa maswali na majibu unaweza kukusaidia kutatua baadhi ya matatizo ya kawaida ambayo unaweza kukabiliana nayo unapofurahia Huduma Zetu.
Q1: Je naweza kuaangalia salio langu la data na muda uliobaki?
A: Ndio. Fungua google chrome kisha "http://$(hostname)/status". katika Jedwuali utapata 'Net Balance', kiasi cha data ulichotumia.Muda uliobaki na ulitumika.
Q2: Je naweza ongeza salio kabla halija kwishwa
A: Hapana, hutaweza kununua Mpaka pale Litapokwisha.
Q3: Nimelipia na sijaunganishwa
A: Tafadhari tupigie ikiwa pesa imekatwa na una ujumbe wa malipo, Ikiwa umelipia mara mbili basi utasubiri ya kwanza ikwishe nakisha utumie ya pili,hatuna huduma au mfumo wa kurejesha PESA kwa Sasa
Q4: Je, ninaweza kutumia kwa device mbili tofauti
A: Hapana, Tiketi Moja Hutumika kwa kifaa Kimoja
Q5: Je itachukua Muda gani kutatua Swala nililo Ripoti?
A: changamoto zote hutatuliwa ndani ya masaa 24 toka iliporipotiwa
Q6: Kwa nini vifurushi vyangu vinapungua haraka sana?
A: Kuisha kwa Data Mapema huchangiwa na sababu kadhaa kama:-
# Huenda una software au app updates katika appstore au playstore zinafanyika.
# Huenda una vitu vinafanya Download pasipo wewe kujua,Ushauri funga applikeshen zote na uanze upya
# Unafungua kurasa zenye Matangazo Mengi ya HD au Ukubwa.
Q6: Kwanini WiFi iko Slow, ?
A: Mara zote hakikisha WiFi inasoma walau bar mbili au tatu ilikuweza kutumia kwa kiasi safi.
# Pia zingatia aina ya video au picha ikiwa quality kubwa hufunguka taratibu, video za live stream na ata kudownload kitu chenye size kubwa
Q7: Mtandao umepotea / haupo
A: #Nyakati Zingine Network Hupotea,kutokana na sababu zilizo nnje ya uwezo wetu
# Huenda muda wako umekwisha, mfumo wetu umekutoa Automatic,fanya manunuzi kuendelea kuperuzi
# Rejea Swali Namba 8.
Q8: Una Ona Neno "Connected but no internet?"
A: # Inaweza Kuwa Hakuna Mtandao Kwa Muda au Haupo katika Umbari uliopendekezwaVigezo na Masharti.
# Rejea Swali la 7 hapo Juu
Q9:Je, ninaweza kupata WiFi kwa mkopo?
A: haiwezekani kwa sasa. Hata hivyo, unaweza kupata Dakika 45 bila malipo ambayo inapatikana kila siku* na uvinjari mtandao kwa muda.